Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Kwa soka la Bongo linavyo endeshwa kwa kelele za mashabiki huyo kocha baada ya hiyo game hatoboi nakwambia.
Kule Tunisia lazima Yanga achezee kichapo tena kuanzia goli 3 na kuendelea, yaani baada ya hapo anafutwa kazi moja kwa moja hiyo haina mbambambaa.
Nacho mshauri huyo kocha akiona amepoteza bora abaki huko huko kwako, barua ya kufutwa kazi itamkuta huko huko.
Sina udini wa Usimba na Uyanga mimi bali huo ndio ukweli, uzi tayari.