Imeandikwa manabii wa uongo watatokea ........yanga atakama apoteze kibarua kipo tuKwa soka la Bongo linavyo endeshwa kwa kelele za mashabiki huyo kocha baada ya hiyo game hatoboi nakwambia...
Kwaiyo mkisha mfukuza Nabi katikati ya Msimu uyo anayekuja Malengo yatakua ni yepi? Maana Kwa Ligi ya Ndani Kwa timu iliyopo Ubingwa Yanga ataendelea kuchukua[emoji1][emoji1]Ilitakiwa afutwe kabla timu haijaenda Tunisia
Nabi amekiuka makubaliano yaliyopo ndani ya mkataba wetu. Nilimpa support Kwa kumsajilia Kila mchezaji aliyemtaka. Nulifanya hivyo Ili kuondoa malalamiko na kutafuta visingizio.Kwaiyo mkisha mfukuza Nabi katikati ya Msimu uyo anayekuja Malengo yatakua ni yepi? Maana Kwa Ligi ya Ndani Kwa timu iliyopo Ubingwa Yanga ataendelea kuchukua[emoji1][emoji1]
Kwa soka la Bongo linavyo endeshwa kwa kelele za mashabiki huyo kocha baada ya hiyo game hatoboi nakwambia.
Kule Tunisia lazima Yanga achezee kichapo tena kuanzia goli 3 na kuendelea, yaani baada ya hapo anafutwa kazi moja kwa moja hiyo haina mbambambaa.
Nacho mshauri huyo kocha akiona amepoteza bora abaki huko huko kwako, barua ya kufutwa kazi itamkuta huko huko.
Sina udini wa Usimba na Uyanga mimi bali huo ndio ukweli, uzi tayari.
Kwani mbona magufuli aliwahi kutuita maskini na wanyonge mara nyingi sana?Ngoja wakushukie wala mihogo
Nyie wenyewe ndiyo mlikuwa mnamuita Rais wa wanyongeKwani mbona magufuli aliwahi kutuita maskini na wanyonge mara nyingi sana?
Yeye ndie aliekituita hivyo na sio sisi kujiita hivyoNyie wenyewe ndiyo mlikuwa mnamuita Rais wa wanyonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskiniiiii wee umepoaa hadi kuandika unatetemeka, poleeeehSawa mheshimiwa rais wa Club. Tumekupata.
Ubingwa wa Bahasha kwa marefa,mkikutana na marefa watenda Haki mnaloa UHARO mpaka matakoniKwaiyo mkisha mfukuza Nabi katikati ya Msimu uyo anayekuja Malengo yatakua ni yepi? Maana Kwa Ligi ya Ndani Kwa timu iliyopo Ubingwa Yanga ataendelea kuchukua[emoji1][emoji1]