Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,896 Reaction score 4,058 Jun 3, 2023 #1 Kuhusu mechi ya USM Alger na Yanga ni kwamba Yanga atashinda ila kuna mchezaji muhimu ataumia. Kuumia kwa mchezaji huyo kutaiathiri timu na hivyo kuna shaka timu kushindwa kupata matokeo ya kupindua meza.
Kuhusu mechi ya USM Alger na Yanga ni kwamba Yanga atashinda ila kuna mchezaji muhimu ataumia. Kuumia kwa mchezaji huyo kutaiathiri timu na hivyo kuna shaka timu kushindwa kupata matokeo ya kupindua meza.
T Tonnes Member Joined Feb 19, 2022 Posts 27 Reaction score 30 Jun 3, 2023 #2 Young African inachukua ubingwa wa CAFCC leo hii. Mungu ibariki Young African, Mungu ibariki Tanzania. Amen!..
Young African inachukua ubingwa wa CAFCC leo hii. Mungu ibariki Young African, Mungu ibariki Tanzania. Amen!..
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jun 3, 2023 #3 Yanga atafungwa goli tano bila nimekaa pale [emoji117]
mwanadar JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 423 Reaction score 294 Jun 3, 2023 #5 SAGAI GALGANO said: Yanga atafungwa goli tano bila nimekaa pale [emoji117] Click to expand... Mi shahidi Yako 5-1
SAGAI GALGANO said: Yanga atafungwa goli tano bila nimekaa pale [emoji117] Click to expand... Mi shahidi Yako 5-1
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jun 3, 2023 #6 Ng'onda!!
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Jun 3, 2023 #7 Kuna Kila DALILI Yale ya 2018 yakajotudia. Usiwape Moyo kabisa mashabiki WA Yanga. 4-0.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Jun 3, 2023 #8 Mvua hizi ZA hapa Dar es salaam ni za Simba. Na Simba ni mzuri jumapili muda alioumba Mungu MECHI NI JUMAPILI. ILq shetani anasema ni jumamosi.
Mvua hizi ZA hapa Dar es salaam ni za Simba. Na Simba ni mzuri jumapili muda alioumba Mungu MECHI NI JUMAPILI. ILq shetani anasema ni jumamosi.
KINGDOM MONERA Member Joined Apr 17, 2023 Posts 78 Reaction score 54 Jun 3, 2023 #9 Bora nikae pembeni
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 1,984 Reaction score 4,502 Jun 3, 2023 #10 Man of the match atakuwa Morrison
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jun 3, 2023 #11 danhoport said: Man of the match atakuwa Morrison Click to expand... Anakula umeme huyo mvuta bangi niko pale [emoji117]
danhoport said: Man of the match atakuwa Morrison Click to expand... Anakula umeme huyo mvuta bangi niko pale [emoji117]
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,028 Reaction score 1,496 Jun 3, 2023 #12 huku mechi inaenda matuta yanga anabeba
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jun 3, 2023 #13 2-3