Utabiri: Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli; kuna timu haitapoteza mchezo ndani ya mzunguko pia

Yaani mechi nne ndo mmeanza kuuota ubingwa ya msimu ulioisha mmeyasahau
 
utopolo kweli ni manyani aisee! tabia ya nyani ni usahaulifu, hukumbuka kujenga nyummba akiwa ananyeshewa na mvua. ikikata tu anaendelea kusherehekea jua. sashivi tayari mmeshasahau yote ya nyuma lkn yakianza tu kujirudia mnaanza kuparuana na viongozi wenu
 
Mbona hili sio jipya kabisa walishakua unbeaten nusu msimu na zaidi lakini baadae wakakosa ubingwa.
 
utopolo kweli ni manyani aisee! tabia ya nyani ni usahaulifu, hukumbuka kujenga nyummba akiwa ananyeshewa na mvua. ikikata tu anaendelea kusherehekea jua. sashivi tayari mmeshasahau yote ya nyuma lkn yakianza tu kujirudia mnaanza kuparuana na viongozi wenu
Safari hii lazima mnye mavi huku yakiwaunguza

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Lakini haya mambo hayanaga formula.

Mzunguko wa pili tu akiruhusu goli moja ndio inakuwa fungulia mbwa.
 
Back
Top Bottom