buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Hakuna Team HapoWa yanga?
mkuu amini unachoambiwa hakuna timu itakayoweza kuifunga hiyo timu iliyotabiliwaTanprison
Mbeya city
Zitawanyamazisha
raundi hii wale mrenda tutapita tumesimamaMmeanza kelele za unbeaten kama msimu uliopita? Wagosi wa kaya wakawatoboa.
hahahaha wewe jamaa vpHakuna Team Hapo
Haa Tehhahahaha wewe jamaa vp
Zile ngorogojo za buhoro ni imara sana mkuu hahaha...Haa Teh
Hiyo Ni Baiskeli Ya Miti, Kule Buhoro Tunaita Ngorojo Haifiki Mbali
Safari hii lazima mnye mavi huku yakiwaunguzautopolo kweli ni manyani aisee! tabia ya nyani ni usahaulifu, hukumbuka kujenga nyummba akiwa ananyeshewa na mvua. ikikata tu anaendelea kusherehekea jua. sashivi tayari mmeshasahau yote ya nyuma lkn yakianza tu kujirudia mnaanza kuparuana na viongozi wenu