Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Mi naombea magoli 3 tu
Fainali hiyo ndugu zangu gem isije isha droo mkabaki vinywa waziNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Hata draw itabidi iwe ya tano tanoFainali hiyo ndugu zangu gem isije isha droo mkabaki vinywa wazi
Nakuunga mkonoThe Blues, second UCL title loading...
First half,we are leadingNakuunga mkono
Naomba matokeo mkuuNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Nitarudi baadae[emoji1]Nakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
RudiMechi ishaisha Chelsea kafungwa.