king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Aibu gani hii. Huu ni mpira wa miguu kaka. Chuki binafsi ndio zimawatafunaNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Kwisha habari yako mkuuNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Sio kwenye UEFA mkuuDah,,Gadiola kazeeka ghafla.
Man City wangeomba hata wavae jezi za Arsenal wangemaliza shughuli mapeema sana
Wachambuzi uchwara wa bongolendiNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Mission accomplishedThe Blues, second UCL title loading...
Chealse ni pisi ya Arsenal popote pale,hata akimkuta uefa Arsenal anakamata mkono anapeleka geto.Sio kwenye UEFA mkuu
Kweli kabisa!Nakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Roho isikuume sasaAibu gani hii. Huu ni mpira wa miguu kaka. Chuki binafsi ndio zimawatafuna
Mpiga ramli wa aseno hapa umepoteaNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Umehamia lini chelsea bibi??All the best kwa The Blues [emoji7]
SanaMpiga ramli wa aseno hapa umepotea
Kumbe we ni mshabiki mwenzangu wa chelseafc ππππAll the best kwa The Blues π
wewe kweli kiboko chelsea bingwaHii kombe uwa halibebwi na mtu anayeenda faina kwa Mara ya kwanza kama kuna timu ilitoke ikafanya hivyo karibuni nikumbushwe ila ukweli mchungu hata Chelsea walipoingia kwa Mara ya kwanza walipigwa na Manchester...
Europa league ulifanywa Nini?Chealse ni pisi ya Arsenal popote pale,hata akimkuta uefa Arsenal anakamata mkono anapeleka geto.
Ndiyo mkuu na tumenyanyua ndoo dah raha sanaπKumbe we ni mshabiki mwenzangu wa chelseafc ππππ
Wee sijawahi kuhama wala kuhamia Grandson! Timu zangu ni Chelsea the blues na Yangaπ€!Umehamia lini chelsea bibi??
Washapoteana kitamboTushachukua ndoo kwa goli moja tu naona mmekimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukutane Stamford bridge saa 7:00 mchanaMission accomplished
Bibi hii yanga vile mbovu sii utakumaliza nguvu za kike kwa pressureWee sijawahi kuhama wala kuhamia Grandson! Timu zangu ni Chelsea the blues na Yanga[emoji847]!