meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Akiba ya maneno katika siasa za bongo ni muhimuSawa ngoja niweke akiba ya maneno
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Wachumia tumbo walipoingia na kuitetea Chadema mlisemaje?Mh! Kutoa rushwa kununua wachumia tumbo wasio na msimamo ambao wanahaha huku na kule kutafuta shibe ni strategy ya kuigwa barani Afrika!? Bado tuna safari ndefu sana.
Mnafikiri mtamtishia kumvunjia nyumba kama wema? hahahaha hapo mmenoa wakamteni hawa mamburura waliopo hapa kwa kuwabambikia keshi na kuwasakizia TRAHuu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Njaa anayo Labda uniambie hana faida hapo Sawa kabisaHakuna kitu kama Iko, ,,angekuwa yupo Tz kweli,,,,,hana njaa wala faida yoyote kurejea CCM
Marekani kusikie hivyo hivyo!!Hakuna kitu kama Iko, ,,angekuwa yupo Tz kweli,,,,,hana njaa wala faida yoyote kurejea CCM