muchina omuchina kihengu
Member
- Dec 14, 2016
- 35
- 43
Ngoja tuone kama utapatia..Mpira ukiisha ntakuchekiUtabir wa Leo unasema
Man u vs Anderlecht
Man u win
Genk vs celta
Draw
Schalke vs ajax
Schalke win
Besiktas vs Lyon
Draw
Tusaidian mkuu iyo nyota inapatikan vpKuna vitu unamis hujui nyota inayotawala kwa hiyo siku
Si kila mech inakubal kwa hesabu uliyopigia..wote tunajua hvo lkn c kila wakat inatoaUtabir wa Leo unasema
Man u vs Anderlecht
Man u win
Genk vs celta
Draw
Schalke vs ajax
Schalke win
Besiktas vs Lyon
Draw
Mkuu hatugombani.tunaelimishana.na wewe changia nani anapigwaKuna mechi umeshayumba hapo , kuna mech zinategemea nyota, wewe umebeba kanuni juujuu , umeanzisha uzi
Subiri uaibike , ujifunze siku nyingine usikurupuke
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeisha nipotezea buku teni langu mbwa ww,, View attachment 498865View attachment 498866
Yani nimeboeka apa, nikajua ni yule anayebashili na kupatia kilasiku, kumbe huyu kavamia tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pole sana mkuu achana na hawa wapiga lamliYani nimeboeka apa, nikajua ni yule anayebashili na kupatia kilasiku, kumbe huyu kavamia tu
Asante mkuu,, maisha haya yanatupeka putaPole sana mkuu achana na hawa wapiga lamli