Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Kweli bwana bora kuendelea kuchambua timu mwenyew tuAsante mkuu,, maisha haya yanatupeka puta
Mkuu si afadhali yeye amejaribu.wewe unayejua umesaidia nini?Umeona wenzio wanatabir wanapatia, wewe umeona wanafaidi haya , umeanzisha na wewe uzi bila kuwa na elimu ya kutosha kuhusu unajimu na ubashiri.
SIKU NYINGINE MSIPENDE MISIFA YA KIJINGA
Punguza jazba.utabiri ni bahati.Umeisha nipotezea buku teni langu mbwa ww,, View attachment 498865View attachment 498866
Imekuja tofauti na mtazamo niliojiwekea awsali,, lazma ugafilike kidogo kwakwelPunguza jazba.utabiri ni bahati.
Ndio hivyo mkuu.Mimi mwaka Jana nililiwa 150,000.kwa mpigo.niliweka west brom ashinde akadroo na Watford. Hapo hapo nilimpa MTU Anitabirie.Norwich akashinda.huyo west brom akadroo.sikumaind ndo utabiri huoImekuja tofauti na mtazamo niliojiwekea awsali,, lazma ugafilike kidogo kwakwel
Hakuna mkuu.tofauti hizo optionKwan kwenye kubeti hawaangalii extra time..??
Usipende kukurupuka ,kisa wenzako walitabiri wakapatia, nimekuona umekurupuuuuka sanaUtabir wa Leo unasema
Man u vs Anderlecht
Man u win
Genk vs celta
Draw
Schalke vs ajax
Schalke win
Besiktas vs Lyon
Draw
HahahahYani nimeboeka apa, nikajua ni yule anayebashili na kupatia kilasiku, kumbe huyu kavamia tu
We nae mnamdomo sana,,, kama mwanamama wa saloonUsipende kukurupuka ,kisa wenzako walitabiri wakapatia, nimekuona umekurupuuuuka sana
Ulidhan ni chai na maharage ,
Huyu kavamia kutafuta umaarufuYani nimeboeka apa, nikajua ni yule anayebashili na kupatia kilasiku, kumbe huyu kavamia tu
Inaonekana unaufaham na haya mambo, tufanyie mpango baso j\mos (kesho) ata mechi tatu tu tupunguze hasars zetuHuyu kavamia kutafuta umaarufu
Asijue kuna kanuni za nyota na miez na mambo mengi ya kuangalia apart na namba
Sio kwa huyu jamaa.atakuwa muhaya huyu.Inaonekana unaufaham na haya mambo, tufanyie mpango baso j\mos (kesho) ata mechi tatu tu tupunguze hasars zetu
Ha ha h,, wanaringa thn hawana loloteSio kwa huyu jamaa.atakuwa muhaya huyu.
Acha tu.tukomae.kivyetu vyetu.Ha ha h,, wanaringa thn hawana lolote