UTABIRI: Muda si mrefu hapatashikika hapo Yanga SC

Some how kuna ka ukweli hasa hapo kwenye kumtimua kocha tukikosa shirikisho na halafu tukafungwa na Simba basi Prof Nabi na benchi la Ufundi ni virago

Yanga haturembi
 
Ningependa sana wakutane na De Agosto

Hawawezi kukutana nao

Timu zitakazotolewa CAFcl hukutana na zile zilizofuzu Cafcc round ya kwanza
 
Mfumo wa kupata wachezaji Yanga utazamwe upya.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…