Utabiri-Muoshwa huoshwa pia,Man U 4 Madrid 0

Utabiri-Muoshwa huoshwa pia,Man U 4 Madrid 0

Unaota au ndo kusubiria meli kipawa ?
 
Nilishasemaga hili...vilabu vya england kwenye michuano mikubwa barani ulaya bado sana...huko ni SPAIN NA GERMANY watabaki kudominate...vilabu Vya EPL vitabaki kusindikiza.
 
umepatia mkuu [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom