Utabiri Mzito: Mwaka wa 2025 ni mwaka Tanganyika kuamua hatima yake

Utabiri Mzito: Mwaka wa 2025 ni mwaka Tanganyika kuamua hatima yake

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hayawi hayawi ndivyo ndelemo za 2025 zitakavyokuwa huu ni mwaka mwaka wa Tanganyika.

Si rahisi rahisi rahisi ndivyo itakavyokuwa.

Sumu haionjwi kwa ulimi, ni gusa unate, gusa unuke na usiponuka unaondoka kama Member, misifa mingi wakati huna agano na Mungu kwa uhai wako.

Leo Kiko wapi kalala huko Rondo tena alilala chap kwa haraka baada tu ya Ujio wa Mr Slim.

Tanganyika ipo na itakuwepo time will tell.

Yetu macho.

Pang Fung Mi
 
Back
Top Bottom