Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

Wewe unaiona?? Nazani tumetofautiana viwango vya kujua mambo wengine tuko curious tukitaka kujua kitu tunachimbua mpaka mizizi..so I can't argue..na nilishasema tusitupiane mawe

Siwezi kuiona kwasababu hayo ni mambo yao ya chumbani.

Mama na baba yako wakiachana hawawezi kukwambia sababu za chumbani zaidi ya kukueleza porojo.
 
Huyu mdada ana matatizo, kuachana juzi tu hapa leo keshapata mwingine?

Inaonekana alikua nae kitambo!

Kibiblia amefanya kosa kubwa, na jambo lingine ni kwamba Mungu hashindwi, kama angesimama na Mungu nina hakika angeshinda ila kwa kuwa amechagua upande wa kushindwa matokeo yake ndio hayo.

Na huyo aliyefungisha hiyo ndoa nae anahesabika yu mwenye hatia pamoja nao wote waliomuunga mkono.

Kumbe alimpakazia au alimtengenezea Mbasha kesi ya ubakaji ili apate sababu ya kuondoka?

Mungu hadhihakiwi kwa kiasi hicho! Atavuna alichopanda.
 
Mnamlaumu bure labda wengi wenu bado hamjakua.

Kuishi nyumba moja na mtu uliyekutana naye ukubwani sio kitu kidogo.
Kwani huyo wasasa kaanza naye utotoni?
 
bible inasema,amuaye aliyekisha achwa,azini nae.hvyo tuwaombee.nao ni binadamu.wanakosea.no body perfect in this world
 

Hiko kitabu (Bible) unachokitumia kama reference yako ya kuhukumu kimekukataza usihukumu.

Kwa namna ulivyoji-Contradict kwenye hili povu lako, ina maana huna unalolijua.
 
Hiko kitabu (Bible) unachokitumia kama reference yako ya kuhukumu kimekukataza usihukumu.

Kwa namna ulivyoji-Contradict kwenye hili povu lako, ina maana huna unalolijua.
Hakuna mtu anaemhukumu mtu, bali matendo ya mtu ndiyo yanayomhukumu.

Ukikamatwa unaiba hakuna jina jingine utakalopewa zaidi ya kuitwa mwizi!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mathayo 5

31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

Amina
Wote wachangiaji someni aya hiyo katika biblia na kuitafakari.ndio mtakuwa na nafasi nzuri ya kuchangia.
 
Waimba kwaya wa kike uwa wanawashwa sana chini ni hatari sijui nikwasababu ya misuguano mapajani wakati wa kuimba kwaya???
 
"Ukila nyama ya mtu, huwezi kula mara moja "
 
Hii ndoa yake haiwezi kudumu, amini nawaambia huyu Flora inaonyesha kabisa alikuwa anachepuka wakati akiwa ndani ya ndoa, na kama alimsingizia mumewe kesi ya ubakaji ili afungwe basi huyu mwanamke ni muuaji, anaweza kabisa kumuwekea sumu mume wake ili atembee na mwanamme mwingine.
Siwezi kusema kulikuwa na mapungufu kwenye mahusiano yao ya ndani Kama waliishi kwa muda mrefu na kujaliwa mtoto, hapa ni tamaa kubwa aliyonayo huyu mwanamke, Kama mumewe pamoja na kusingiziwa kesi ya kubaka lakini alimsamehe mkewe na alikuwa tayari warudiane ila Flora alikataa, basi huyu si mwanamke wa kuoa hata kidogo, na huyu mwanamme aliyemuoa ajitafakari sana kwa sababu Emmanuel ambaye ni mume aliyeachwa akiwa anampenda mkewe ataendelea kuuguza kidonda cha kuachwa kwa muda mrefu, hii itawaathiri sana kwenye mahusiano yao, haiwezi dumu, muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…