Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

Mnamlaumu bure labda wengi wenu bado hamjakua.

Kuishi nyumba moja na mtu uliyekutana naye ukubwani sio kitu kidogo.
Huyu wa sasa wamekutana udogoni?
Hivi ni wewe pekee una uzoefu wa kuishi na mtu mliokutana ukubwani?
Wanaotoa mawazo wengi wao wana ndoa pia
 
Guzman rekebisha kwanza kiswahili chako;Sio Frola ni Flora,sio taraka ni talaka na sio mmewe bali ni mumewe.
Sasa ukitaka kurekebisha kiswahili cha dereva wa lori Katerero Sijaribiwi utachoka maana akitamka maneno matano manne anakosea
 
Huyo mc lazima atapoteza wateja. Hii ndio tabu ya watanzania kudakia bila kufikiria kazi zao pia.

Nisije kusikia popote mtu anamtaja kutaka kumpa kazi, lazima nitaizima pwaaaaaa.

Wee kama nani? Wee Mungu kwamba utamzimia riziki? Mafanikio ya mtu Mungu huwa anapanga mwenyewe,, hata uruke uruke Mungu akiamua kumuinua mtu atamuinua tu.

Acheni kujiona miungu watu,, eti nitaizima paaa,, wee ndo unayempa pumzi?😡😡
 
Wewe ua



Wewe uamuzi wake unakuhusu nini? Ulitaka uolewe wewe?
Huyo Florah anapenda sana kugegedwa na mitarimbo tofauti tofauti ndo maana anahangaika aionje mingi
 
Wee kama nani? Wee Mungu kwamba utamzimia riziki? Mafanikio ya mtu Mungu huwa anapanga mwenyewe,, hata uruke uruke Mungu akiamua kumuinua mtu atamuinua tu.

Acheni kujiona miungu watu,, eti nitaizima paaa,, wee ndo unayempa pumzi?😡😡

Unaandika kama vile hafanyi kazi ya kukodiwa...hilooooo

Tumia akili...na itakuwa hivyo nikisikia anatajwa.
 
Muhuni tu huyu hakuna cha ulokole wala nini cha mlokolefeki a.k.a ngonolist
 
Mathayo 5

31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

Amina
Mkuu usisome biblia Kwa kurukaruka
 
MUNGU ndo hupanga kila kitu, pengine kwa mbasha alikosea njia, ila kwa huyu, kafika
 
Sasa nyie mnao washwa na hilo mlitaka muolewe nyie mana hatuwaelewi inawahusu nn jadilini maisha yenu wacha watu waowane na wewe achika Kama utaolewa au utaowa hiyo ni bahatiiiiiiii [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…