jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Ndugai anapaswa kukamatwa na kujibu tuhuma nyingi za uvunjifu wa haki na sheria bungeni.Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM Katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.
Kwa hivyo kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.
Na kila lililo la kheri mwana dada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.
wa taifa lake yupo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂😂😂Ivi kuna naibu wazili mkuu
Labda cheo kipyaIvi kuna naibu wazili mkuu
Kipindi cha Mrema Lyatonga wakati wa awamu ya pili, mzee wa kufunga magoli katiba ilikuwaje?Naibu Waziri Mkuu? Kwa Katiba ipi?
... walimvika "kilemba cha ukoka" naye kichwa kikavimba; I am sure hakupewa barua yoyote ya uteuzi kwenye hicho "cheo" zaidi ya maneno ya kisiasa. Bahati nzuri cheo kilichokuwa kinamlipa mshahara ni uwaziri wa mambo ya ndani na ndio maana siku za hivi karibuni baada ya choka mbaya amekuwa akilialia eti akumbukwe japo kifuta jasho kwa kile cheo feki. Lakini utata unakuja, alipwe kwa kifungu kipi? Hakipo!Kipindi cha Mrema Lyatonga wakati wa awamu ya pili, mzee wa kufunga magoli katiba ilikuwaje?
Naibu waziri mkuu?Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.
Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.
Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.
Muulize Mrema alipewa cheo hicho kwa katiba ipi.Naibu Waziri Mkuu? Kwa Katiba ipi?
... soma Post #9 hapo juu.Muulize Mrema alipewa cheo hicho kwa katiba ipi.
...Naibu Waziri mkuu.Sema naibu spika, rekebisha title
ID yako inatosha!Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.
Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.
Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.