Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mnamuiga py thon bila kujua kwanini alitumia herufi mbili za timu kwenye kutabiri. Herufi inaweza kutumika hata moja tu ya mwanzo, mbili hata nakuendelea. Kikubwa ni mpaka jumla ya timu moja iwe witiri nyingine shufwa ndipo unajumlisha na tarehe.Leo tarehe 23/4
Re=18+5+23=46
Ba=2+1+23=26
Wote wana namba shufwa , na hawaendani na tarehe
HII MECHI NI DROO
Pia mwenye namba ndogo ana nafasi ya kushinda .,hivo BARCA atashinda au sare
Hakuna anayemuiga , hii njia ipo kitambo labda kama unaisikia leoMnamuiga py thon bila kujua kwanini alitumia herufi mbili za timu kwenye kutabiri. Herufi inaweza kutumika hata moja tu ya mwanzo, mbili hata nakuendelea. Kikubwa ni mpaka jumla ya timu moja iwe witiri nyingine shufwa ndipo unajumlisha na tarehe.
Py thon mtata Sana, mtaalamu wa utabibu, muachieni tu hii nambo
Your words hava been marked except those digts. Shall we continue to mark it?Barca anakufa 3-0 mark my words..
Mimi niliisikia kipindi hicho alikua anatumia sheikh Yahya, na hayo niliyoandika imetokana na jinsi alivyokua anaelekeza yahya.Hakuna anayemuiga , hii njia ipo kitambo labda kama unaisikia leo
Ni shiiiiiida!MESSI
Shekh yahya alikuwa anatumia na nyota na uchawi na bado alikuwa anaingia chaka,Mimi niliisikia kipindi hicho alikua anatumia sheikh Yahya, na hayo niliyoandika imetokana na jinsi alivyokua anaelekeza yahya.