Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naelewa matumaini ni madogo, ila leo kibao kitageuka.Matokeo ni hayo hayo isipokuwa yatakua kinyume chake. England 2- 1 Senegal
Wote tunapenda Afrika tufike mbali kwenye haya mashindano lakini ndio Kama nilivyosema tunakufa.Naelewa matumaini ni madogo, ila leo kibao kitageuka.
Matokeo ni hayo hayo isipokuwa yatakua kinyume chake. England 2- 1 Senegal
Umetabiri sahihi. Sema tu magoli yote 3 yameingia upande mmoja, wa Senegal.Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao.
Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.