mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Itawashinda vipi?!Hapo hali ya usalama itawashinda CCM kabisa.
Mwanaccm mwenzenu huyo tunamfahamu usiku wa manane kwenda kumgongea geti mtu fulani na kukaa mazungumzo ya takriban masaa matatuZitto ataishije bila SUK?
Namuona makam wa kwanza wa Zanzibar Kama mwanasiasa bora tu,ila wasiwasi wangu ni viongozi toka bara so Kama akipiga chini cheo chao atakua amejijenga Sana ata 2025 anaweza fanya vizuri pitia chama chochote nje ya ACtMwanaccm mwenzenu huyo tunamfahamu usiku wa manane kwenda kumgongea geti mtu fulani na kukaa mazungumzo ya takriban masaa matatu
SureNamuona makam wa kwanza wa Zanzibar Kama mwanasiasa bora tu,ila wasiwasi wangu ni viongozi toka bara so Kama akipiga chini cheo chao atakua amejijenga Sana ata 2025 anaweza fanya vizuri pitia chama chochote nje ya ACt