Utabiri: Simba kubeba taji la Kombe la Shirikisho barani Afrika 2021/22

Mada yote inazungumzia simba na Caf confederation cup wewe unakuja kucomment unaitaja Yanga hivi simba anashindana na Yanga kweli kwenye hilo kombe au ni wewe uelewa wako wa mada umekuwa mdogo mkuu
Hebu tuchangie kulingana na mada iliyopo mezani sio mahaba yako niue kwa klabu yako
 
Mkuu na mimi nimemshangaa sana huyo jamaa na hoja yake eti Manula ndio bora ila simba sio bora as if kwamba Manula huwa tunamuazima Ndanda au Mbeya kwanza ili atudakie mechi zetu za shirikisho
 
Kuendelea kupata vichekesho vingine kama hivi andika ujumbe VICHEKESHO kwenda namba 7773
 
Kumbe simba anashindana na yanga msimu huu kuwania Caf confederation cup? mimi sikuelewa hebu niweke sawa wao (Yanga) wapo kundi gani kwenye hii michuano?
 
Kumbe simba anashindana na yanga msimu huu kuwania Caf confederation cup? mimi sikuelewa hebu niweke sawa wao (Yanga) wapo kundi gani kwenye hii michuano?
Acha kujitoa ufahamu dogo.. ukija uku mjini utaolewa mapema sana
 
Angalia ushangiliaji wao kama wamebanwa na ngiri, hawawaoni wenzetu wa Yanga wanavyoshangilia na Mayele wao.
 
Manula ni mchezaji wa Mgambo eee?
 
Upeo wao wa kufikiri ndipo unapoishia. Unategemea akupe nini cha ziada zaidi ya hizo pumba?
 
Kwenye timu zote 16 unaleta timu moja tu ndio ujue ni jinsi gani ilivyo ngumu kufanya hivyo na ndio maana unaona pamoja na dharau zako zote kwa simba ila ndio timu pekee kundi D kupata point ugenini sio Asec Mimosas wala Barkane
 
Berkane ndio ataongoza hili kundi, Tunza hii post
Berkane hana uwezo wa kumaliza akiongoza kundi mbele ya simba hawezi na hatakuja weza na asipojiangalia anaweza ishia makundi
 
Utakuwa mshauri wako ni mkude na Morrison🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…