Katika kundi la wajinga duniani wakubeti wanashika no1 tunajifanyaga tuna akili iliyopitiza na ndiyo tunaliwa kirahisi mnoIla wakubet wanadharau yaan wanampa Big bullet amfunge Simba daaa!
Hatua inayofuata zikitolewa bado zina karata ya kombe la shirikishoGame mbili zimeisha, kwavyovyote timu zote mbili zimeshafuzu hatua inayofuata sasa ngoja tusubiri hatua ya pili iliyobakia
Mpira upe heshima yake meza hua zinapindukaGame mbili zimeisha, kwavyovyote timu zote mbili zimeshafuzu hatua inayofuata sasa ngoja tusubiri hatua ya pili iliyobakia