Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chezea viongozi wa simba wewe..[emoji23][emoji23][emoji23]. jamaa kesha sahau kila kitu...viongozi wame formatt ubongo wote.FIFA vipi?mmeshasaulishwa ...mbumbumbu FC
nipe idadi ya mechi ambazo Simba na Yanga walizopoteza msimu uliopita 2016/17.Wakina Aveva wamefanikiwa sana kucheza na akili za mashabiki wa Simba,wanasajili kwa mbwembwe sana ligi ikianza wanaifunga Yanga matches nyingine wanafungwa mwisho wa ligi Yanga ndio Bingwa na mashabiki hawahoji lolote lile tena.
Nani alikuwa Bingwa na match za Yanga na Simba nani alifungwa?nipe idadi ya mechi ambazo Simba na Yanga walizopoteza msimu uliopita 2016/17.
mkuu, hivi kweli ni akili kujisifia kitoto hivi wakati mwenzio anazidi kutanua rekodi ya ubingwa wa ligi??FT: Simba Sc 8 - 0 Yanga Sc.
~> Jukwa la Yanga litazimia na mashabiki wao watazimia.
Jamiiforums members: demigod na Nifah wata_delete accounts Jf na watakuja na accounts zingine.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji21] [emoji36] [emoji36]
Afadhali ungekuwa ujinga. Huyo ni chizi kabisaUjinga mwingine bana...
Nilidhani mnataka kuchukua ndoo ya VPL mara kibao.FT: Simba Sc 8 - 0 Yanga Sc.
~> Jukwa la Yanga litazimia na mashabiki wao watazimia.
Jamiiforums members: demigod na Nifah wata_delete accounts Jf na watakuja na accounts zingine.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji21] [emoji36] [emoji36]
Mbumbumbumbu hao. Hawana tiba!Wakina Aveva wamefanikiwa sana kucheza na akili za mashabiki wa Simba,wanasajili kwa mbwembwe sana ligi ikianza wanaifunga Yanga matches nyingine wanafungwa mwisho wa ligi Yanga ndio Bingwa na mashabiki hawahoji lolote lile tena.