AHAS
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 377
- 727
Yanga SC watakuwa wageni wa Mamelodi Sundowns Ijumaa kuanzia Saa 3:00 usiku Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria.
Yanga inahitaji ushindi au sare ya mabao ili kwenda Nusu Fainali kufuatia sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa
Simba SC wapo Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano Robó Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Al Ahly Ijumaa hiyo hiyo Saa 5:00 usiku
Mistake kubwa ya Yanga ni kutopata goli hata la offside huku possesion wenyeji yanga wakiachwa mbali kabisa na masandawana na taarifa za ndani ni kwamba PACOME NA YAO hawatakuwa sehemu ya kikosi japo AUCHO Anaweza kucheza lakini bado sioni kama itabadilisha chochote
Lakini Tusisahau pia mmiliki wa mamelodi ndo Raisi wa CAF
Simba ndio waliboronga zaidi kuruhusu goli la mapema kabisa na wakashindwa kusawazisha hii ni automatically safari imeishia hapo maana alahly nyumbani yupo ladhi afie uwanjani
IKUMBUKWE; Mipira ya Kiafrika hasa hatua kama hizi sehemu pekee ya kupata matokeo yanayoridhisha huwa ni nyumbani hasa kwa timu kubwa kubwa kumbuka hapa huendi kucheza na jwaneng maana wengine wana refer mechi za timu ndogo ndogo
Hivyo basi sio simba wala Yanga atakaevuka hii hatua[/color][/color]