Utabiri: Sio Simba wala Yanga atakayefuzu kuingia nusu fainali

AHAS

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
377
Reaction score
727
Yanga SC watakuwa wageni wa Mamelodi Sundowns Ijumaa kuanzia Saa 3:00 usiku Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria.

Yanga inahitaji ushindi au sare ya mabao ili kwenda Nusu Fainali kufuatia sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba SC wapo Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano Robó Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Al Ahly Ijumaa hiyo hiyo Saa 5:00 usiku

Mistake kubwa ya Yanga ni kutopata goli hata la offside huku possesion wenyeji yanga wakiachwa mbali kabisa na masandawana na taarifa za ndani ni kwamba PACOME NA YAO hawatakuwa sehemu ya kikosi japo AUCHO Anaweza kucheza lakini bado sioni kama itabadilisha chochote

Lakini Tusisahau pia mmiliki wa mamelodi ndo Raisi wa CAF

Simba ndio waliboronga zaidi kuruhusu goli la mapema kabisa na wakashindwa kusawazisha hii ni automatically safari imeishia hapo maana alahly nyumbani yupo ladhi afie uwanjani

IKUMBUKWE; Mipira ya Kiafrika hasa hatua kama hizi sehemu pekee ya kupata matokeo yanayoridhisha huwa ni nyumbani hasa kwa timu kubwa kubwa kumbuka hapa huendi kucheza na jwaneng maana wengine wana refer mechi za timu ndogo ndogo

Hivyo basi sio simba wala Yanga atakaevuka hii hatua[/color][/color]
 
ndoto za kukata tamaa hua kwenye usingiz wa kwenye daladala 🐒

hujapitilizwa kituo kweli wewe?🐒
kwa madiba Yanga inashinda vizur tu, na kwa Farao Simba inashinda vile vile 🐒
 
ndoto za kukata tamaa hua kwenye usingiz wa kwenye daladala [emoji205]

hujapitilizwa kituo kweli wewe?[emoji205]
kwa madiba Yanga inashinda vizur tu, na kwa Farao Simba inashinda vile vile [emoji205]
Hata kuamini kwamba Simba na Yanga itafuzu ni ndoto za mchana pia wewe tunza hili bango
 
Mwanzo ilikua [emoji2788] Mamelodi hawana ugenini wala nyumbani mtapigwa kama ngoma sasa hivi [emoji2788] ngoja muende huko mtakiona cha mtemakuni! Nyie msha jikatia tamaa msituweke kwenye kundi lenu
 
Hizi lugha kabla ya mechi ya kwanza hazi kuwepo,baada ya Yanga kupangwa na Mamelod mliona Yanga ndio tayari.Ila sasa mnatumia lugha za mjumuisho,kila mmoja apambane na mechi yake, kwani hata matokeo ni tofauti.
 
Hata kuamini kwamba Simba na Yanga itafuzu ni ndoto za mchana pia wewe tunza hili bango
Hizi ahadi zenu kavu tushazichoka.Wewe kama hazina maana.Sasa tukishatunza bango then ......... tunapata nini.
 
Kolo linalojificha kwenye shuka la utabiri baada ya Kuona timu yake imeboronga, iondoe yanga kwenye upuuzi wako mwanzo mlisema yanga anaokota nyingi kwa Mamelod baada ya mechi ya kwanza mnabadili gia angani ili kuziweka timu zote kwenye kapu moja ebu acha umbumbumbu wako kapambaneni na Hali yenu!
 
Mwanzo ilikua [emoji2788] Mamelodi hawana ugenini wala nyumbani mtapigwa kama ngoma sasa hivi [emoji2788] ngoja muende huko mtakiona cha mtemakuni! Nyie msha jikatia tamaa msituweke kwenye kundi lenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema tenaa.
 
Hizi lugha kabla ya mechi ya kwanza hazi kuwepo,baada ya Yanga kupangwa na Mamelod mliona Yanga ndio tayari.Ila sasa mnatumia lugha za mjumuisho,kila mmoja apambane na mechi yake, kwani hata matokeo ni tofauti.
Huwaga una kimuhe muhe weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…