Utabiri: Spurs bingwa UEFA

Utabiri: Spurs bingwa UEFA

Kumbukeni Liver tuna hasira yaan hasira zote zitakwenda kwa spurs huyu kama hatujamtia 5 mtungi sijui
Utakakiwa koo uahindwe hata kutema mate wakati huo ushatunguliwa goli na dakika zinayoyoma!!
 
Una laki 5 hapo mkuu. Tusiandikie mate hapa wakati. Muhindi yupo.[emoji57]
 
Ulichoandika ni sawa ila sio fact bali ni matamanio yako. Yani kiufupi hutamani Liverpool ishinde CL.

Lakini inakuuma zaidi kwakuwa huna namna yoyote ya ku influence matokeo hiyo June 1.

Spurs anaweza kweli kuwa bingwa lakini Liverpool nae anaweza kuwa bingwa. Dakika 90 uwanjani ndio zitaamua nani ataibuka kidedea.
 
Hivi Spurs nusu final angepangiwa na Barcelona ...... ingekuwaje ...kwa mawazo yako ...
 
Ni hatari sana kuota unakojoa

Acha kuota kwa usalama wako

Japo ulichoandika naombea kitokee kweli
Joana Utakuwa Shabiki Wa :
1. Manchester United
2. Manchester City
3. Arsenal
4. Chelsea...

Wote Hao Hawaipendi Liverpool Maana Kawachabanga Kweli Kweli! [emoji3]
 
Umeandika Uhalisia Bila Kuegemea Upande Wowote! Lakini Kumbuka Msimu Huu Top Six Aliyemfunga Liverpool Ni Chelsea Na Manchester City Basi Halafu Tottenham Hotspurs Hawana History Kumfunga Liverpool... Especially Mashindano Kama Haya... Kwanzaa Ni Mara Yake Ya Kwanza Kufika Fainal Tofauti Na Liverpool... Kawaida Yao Kutwaa Hiyo Ndoo...
 
Naomba isiwe hivyo maana sie Asenali hatutalala.
Kwanini Msilale? Au Mnaogopa Kupigwa Tano Na Liverpool...
Halafu Arsenal Gundu Tupu. Msimu Ule Wa Kina Suarez Tuliwapiga 5 Hatukuchukua Ubingwa, Msimu Huu Tena Tumewapiga Tano Ndoo Tumeikosa! Arsenal Mna Nini Lakini?
 
Hivi Spurs nusu final angepangiwa na Barcelona ...... ingekuwaje ...kwa mawazo yako ...
Tottenham Hotspurs Yuko Vizuri Si Wa Kumbeza Hata Kidogo Ila Hana Uzoefu Ndio Kitu Kinamgharimu. Unajua Liverpool Alikaa Sana Bila Kucheza Hiyo Michezo Ndio Maana Akaliwa 'Kiboga' Na Real Madrid Msimu Ulopita? Japo Wachezaji Wake Walikuwa Onfire Tofauti Na Msimu Huu? Japo Vile Vile Naamini 'Kuumizwa' Kwa Mo Sarah Kulichangia Sana Hata Kama Hawakuwa Na Uzoefu...

Nakumbuka Tottenham Hotspurs Walicheza Na Barcelona Pale Catalunia Wakatoka Droo... Wenye Kumbukumbu Mnisaidie...

Kwa Hiyo Tottenham Hotspurs Sio Underdog Kama Wengi Tutakavyozania... Kwanza Msimu Ulopita Alituchabanga 4 Kwao... Akadroo Anfield Mbili Mbili... Japo Msimu Huu Ni Gonjwa Gonjwa!

Liverpool, #YNWA Means Much More...
 
Back
Top Bottom