Unasema rwanda maambukizi yamepungua?.
Wakati wapo 75.
Na lock down yao.
Unadhani wakimaliza hyo lock down ndo CORONA ITAKUWA IMEISHA au wataongeza siku nyingine?View attachment 1405552
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn mkali Sana? Hakna lock down mbn kunanchi wanacheza mpak mpira wanachezaMijinga nyie kwani kwani inakuwaga na la kufanya zaidi ya kubeti beti?
Unadhani ka mtu ni kama 'mjinga wewe'?
Ama kweli wajinga ndiyo waliwao kama unavyoliwa wewe 'mjinga wewe'!
Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.Kuanzia wiki ijayo raia wote wa Rwanda wata unlock total lockdown.Total Lockdown Africa hatuiwezi,tuchukue taadhali za kiafya kutoka kwa wataalamu na tufunge mipaka basi,ila hii total lockdown utawaua kwa njaa WASAKA TONGE.
View attachment 1405712
Hapo ikifika weekend wanajaza uwanja wote.
Kumaliza sio issue,Je tatizo limeisha?Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.
Ccm kwa kujipa moyo bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana halijaisha ila huku bongo ndio limepungua kufikia mgonjwa mmoja.Kumaliza sio issue,Je tatizo limeisha?
Sasa hao Rwanda ndio wamefanya nini?Jana tu kuna wagonjwa wapya watano na mpaka sasa kuna wagonjwa 75.Hapana halijaisha ila huku bongo ndio limepungua kufikia mgonjwa mmoja.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.
Ccm kwa kujipa moyo bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana baada ya kuona ukubwa wa akili yako ambao ni kama punje ya haradali nikakujibu lockdown huko Rwanda haijasaidia kitu ila huku bongo kwa hatua tulizochukua tumefanikisha kumaliza huo ugonjwa kabisa.Sasa hao Rwanda ndio wamefanya nini?Jana tu kuna wagonjwa wapya watano na mpaka sasa kuna wagonjwa 75.
Wewe umesema wiki ijayo total lockdown ndio mwisho je tatizo limeisha?
Coronavirus - Rwanda: Update on COVID-19 Coronavirus - 31March 2020 | Africanews
Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.
Ccm kwa kujipa moyo bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hizo hatua walizo chukua Rwanda ambao wewe unawasifia ,je wamemaliza kutatua hilo tatizo?Ndio maana baada ya kuona ukubwa wa akili yako ambao ni kama punje ya haradali nikakujibu lockdown huko Rwanda haijasaidia kitu ila huku bongo kwa hatua tulizochukua tumefanikisha kumaliza huo ugonjwa kabisa.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Hapana wameongezeka hadi kufikia 15000.Kwani hizo hatua walizo chukua Rwanda ambao wewe unawasifia ,je wamemaliza kutatua hilo tatizo?
Tz napo wamepungua mpaka -2+3j.Hapana wameongezeka hadi kufikia 15000.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Naam kwa sasa tunachezea kwny Magazijuto.Tz napo wamepungua mpaka -2+3j.
Acha tuchezeane kwenye Complex number na kesho watapungua watakuwa -5+sinh x.Naam kwa sasa tunachezea kwny Magazijuto.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Labda aprili 2021Wakuu huu ni utabiri tu si kama ile ndoto ya mheshimiwa Lema hivyo nadhani si haba kuuweka hadharani.
Utabiri huu unazingatia ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano imesheheni wasomi wazamivu na wasomi wabobezi kweli kweli. Kwa ma PhD na ma Profesa wote wale chini ya mkuu mwenyewe ambaye pia ni daktari itakuwa 'too naive' na kutokujitendea haki kudhani kuwa hajui wala hawajui nini cha kufanya kuuzuia na kuutokomeza ugonjwa huu.
Haya ya uchaguzi mkuu kuwa uko palepale ni geresha tu katika jitihada za kutupatia cha kuongelea wakati April anasubiriwa kwa hamu mno aje.
Hapa tulipo ni vyema kujua kuna kinachosubiliwa tu (ambacho ni top secret). Mara kitakapojiri jitihada za kumdhibiti na kumtokomeza kirusi huyu ndipo kitaanza sasa.
"Cha kusikitisha tu ni kuwa katika hii subiri subiri kuna watu itawagharimu maisha pia gharama zitakuwa kubwa zaidi", anasema Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika kusini.
NB: Huu ni utabiri tu pasi na kuwa Kibwetere wala Mwampesa.
Naam Cosh,Tanh kwa sana tu,mixer projectile motions.Acha tuchezeane kwenye Complex number na kesho watapungua watakuwa -5+sinh x.
Hivyo hivyo watafikia mpaka 9cot x + yj.Naam Cosh,Tanh kwa sana tu,mixer projectile motions.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk