Ndugai kwenye kikao cha jana kawaasa wabunge wawe makini na maamuzi ya lockdown sababu amekiri hatuna kiburi cha lockdown jee utabiri wako vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtabiri naanza kuamini maneno yako..Mana kwa wenzetu huko Uganda Hali ya lockdown imeshaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umesogeza mbele imekua May na si April kama ulivyotangaza.Tukumbushane come May 1.
Kuwa tayari kuruka nyumbu kama tukubaliana utabiri haukuwa wa nyumbu.
Lockdown alafu tule Nini? Tubun njia mbadalaKuwa ulaya wanacheza mpira haaminishi kuendelea kucheza mpira hakuna athari wala kuwa lockdown ni useless.
Ipi hiyoLock down bill mipango ni upuuzi Kuna nchi huko ulaya mpaka ligi yao inaendelea kma kawaida kikubwa mipango.
Sent using Jamii Forums mobile app
kujifungia ndani ni solution ndio ila sio solution pekee, kwani ukimwi ulivyoingia bongo watu waliacha kufanya mapenzi? Cha muhimu ni kuchukua tu precautions, lockdown tutakula nini sio kila mtu ana uwezo wa kuweka stock kubwa ya nusu mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umesogeza mbele imekua May na si April kama ulivyotangaza.
Naona umeanza mafumbo mkuu.Nasita kukurejea kama mkuu. Ila tumefikia treni kwa mbele.
Vipi umenusurika lakini?
Naona umeanza mafumbo mkuu.
Oh ok ngoja niondoke mbele ya treni.Kumbe Android alikoroga mambo. Nilimaanisha hivi:
"Nasita kukurejea kama mkuu. Ila umerukia treni kwa mbele.
Vipi umenusurika lakini?"
Hapana fumbo hapo - kila kitu wazi wazi.
Yan tunakaribia kufika kigamboni then unatutabiria tutaona bahari...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzisha mada angalia kwenye historia ya ukoo wenu kama mna gwiji wa uchawi. Si bure amekurithisha bila kujijua.wewe ni msukule.