Ligi ya mkoloni wetu, english premier league imesimama. Timu zinajiimarisha kwa kusajili wachezaji wapya. Mi natabiri top 4 itakuwa chelsea, man u, man city na liverpool. We unasemaje khs top 4

Ngoja timu zimalize usajili deadline ni August 31st. Baada ya hapo ndio utaweza kujua the quality and depth of the EPL squads. Bado timu zinaendelea kusajili. Hiyo Chelski ukizingatia hata kocha hawana