Aguero labda FIFA 21 NDIYO ATACHEZA SIO SERIOUS MATCHChelsea 1-4 Manchester city
Players to score;
Riyad Mahrez
https://www.premierleague.com/players/8983/Riyad-Mahrez/overview
Sergio Agüero
Kevin De Bruyne
Bernardo Silva
Olivier Giroud
Aguero labda FIFA 21 NDIYO ATACHEZA SIO SERIOUS MATCH
Sijakuelewa!!!Toka mmefiwa mmepagawa
Sijakuelewa!!!
Mara ya mwisho chelsea kushinda kwa kuanzia goli tatu nafikiri ni kipindi cha Lampard (sina kumbukumbu nzuri hapa) siku hizi ushindi wao mkubwa ni magoli mawili. Ila wao kufungwa ni mpaka goli tano.
Mostly kwakua wanakaba sana kuliko kushambulia na namna yao ya kushambulia ni kufosi kupita pasipopitika hii inasababisha off sides na freekicks za kumwaga.
City naye kwa Newcastle ushindi ulikua wa maswali. Kwa Brighton kafa (red siyo kisingizio). Brighton mpira wao kama chelsea. Na city kucheza strikerless siyo kama anapenda ila Jesus na Kun hawafanyi delivery inayotakiwa hivyo jukumu la kuscore ni la Mahrez.
Naona chelsea ikicheza 3 4 1 2 na 1 akawa Mount halafu 2 akawa Werner na Pulisic au Giroud anashinda kwa urahisi.
Ikicheza 3 4 2 1 na hiyo 1 ndiyo akawa Werner chelsea itafungwa kwakua italazimika itumie nguvu kubwa kutafuta goli na wakifanya hivyo wanampa space Sterling au Mahrez kubenefit na speed.
Kwangu mimi matokeo ya mechi yataamuliwa zaidi na formation ya chelsea.
Inaonesha wewe si mpenzi wa mpira wewe ulizamia tuChelsea 1-4 Manchester city
Players to score;
Riyad Mahrez
Sergio Agüero
Kevin De Bruyne
Bernardo Silva
Olivier Giroud
Chelsea ya wavaa blauzi mna jua kuishi kwa hisia kweliChelsea 2-1 man shit
Werner assist mason
Mason assist pulisic
Kevin de bruyne
Hilo ni zwazwa litakuwa kina ujauzito unamtesaSijakuelewa!!!
Man city tunahitaji UEFAligi KUU LINAMTOSHA.
HILO NI KOMBE LA CHELSEA.
Man city tunahitaji UEFA
KULIKO CHELSEA
Unasema nini eti? Guardiola hachezeshi namba 9 kwasababu hana?! Guardiola hachezeshi namba 9 kwa sababu ana mfumo wake tofauti anaouamini zaidi, na unampa matokeo, na huo mfumo ndio utakaowahenyesha hiyo siku ya final hamtaamini.Mara ya mwisho chelsea kushinda kwa kuanzia goli tatu nafikiri ni kipindi cha Lampard (sina kumbukumbu nzuri hapa) siku hizi ushindi wao mkubwa ni magoli mawili. Ila wao kufungwa ni mpaka goli tano.
Mostly kwakua wanakaba sana kuliko kushambulia na namna yao ya kushambulia ni kufosi kupita pasipopitika hii inasababisha off sides na freekicks za kumwaga.
City naye kwa Newcastle ushindi ulikua wa maswali. Kwa Brighton kafa (red siyo kisingizio). Brighton mpira wao kama chelsea. Na city kucheza strikerless siyo kama anapenda ila Jesus na Kun hawafanyi delivery inayotakiwa hivyo jukumu la kuscore ni la Mahrez.
Naona chelsea ikicheza 3 4 1 2 na 1 akawa Mount halafu 2 akawa Werner na Pulisic au Giroud anashinda kwa urahisi.
Ikicheza 3 4 2 1 na hiyo 1 ndiyo akawa Werner chelsea itafungwa kwakua italazimika itumie nguvu kubwa kutafuta goli na wakifanya hivyo wanampa space Sterling au Mahrez kubenefit na speed.
Kwangu mimi matokeo ya mechi yataamuliwa zaidi na formation ya chelsea.
Mwambie babu yako kuwa ulaya sio bongo na uzee mwisho bongo tuBabu kaniambia KOMBE anachukua Chelsea.
Mwambie babu yako kuwa ulaya sio bongo na uzee mwisho bongo tu
Hehehehe acha mihemko.Unasema nini eti? Guardiola hachezeshi namba 9 kwasababu hana?! Guardiola hachezeshi namba 9 kwa sababu ana mfumo wake tofauti anaouamini zaidi, na unampa matokeo, na huo mfumo ndio utakaowahenyesha hiyo siku ya final hamtaamini.
Simuoni Sterling akianza hiyo mechi.
Unamtegemea vipi mchezaji kama Werner kwenye mechi ya CL Final? au Giroud?! you can't be serious, kama leicester kawatoa kamasi kwenye final ya FA kwa Man City nyie muombe Mungu tu aingilie kati.