UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
359
Reaction score
613
Historia ipo ili ivunjwe

Mpaka sasa hivi hakuna nchi yenye kikosi kipana na bora kama Mabingwa watetezi
3500.jpg
Bleus.jpg
france-2-scaled-e1668718451825-1024x708.jpg
 
chama langu la nguvu france,kukosa injuries ningekuunga mkono kwa sasa kwenye swala la ubingwa wa dunia nipo 50/50
 
Kama likienda america basi ni samba boys wazee wa kudance
 
Kwa Sasa America hakuna timu ya kutwaa kombe la Dunia Wala kucheza nusu fainali.
 
Historia inaonyesha mabingwa wote wa kombe la dunia huwa wanaishia group stage kwenye world mara wanapojaribu kutetea mataji yao hakuna aliyevuka hapo.
 
Ufaransa haina midfielders wa maana , wanamkosa Kante na Pogba pale jikoni
 
Back
Top Bottom