UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

chama langu la nguvu france,kukosa injuries ningekuunga mkono kwa sasa kwenye swala la ubingwa wa dunia nipo 50/50
 
Timu yangu Ufaransa hiyo,

Nina wasiwasi na kiungo hapo.
 
Kama likienda america basi ni samba boys wazee wa kudance
 
Kwa Sasa America hakuna timu ya kutwaa kombe la Dunia Wala kucheza nusu fainali.
 
Historia inaonyesha mabingwa wote wa kombe la dunia huwa wanaishia group stage kwenye world mara wanapojaribu kutetea mataji yao hakuna aliyevuka hapo.
 
Ufaransa haina midfielders wa maana , wanamkosa Kante na Pogba pale jikoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…