Utabiri unaonyesha game ya madrid na Juve ni draw , hiyo ni dk 90

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,697
Juventus na Real Madrid wanahitimisha msimu wa Uefa wa 2016/ 2017. Juventus huwa wanatumia kifupisho cha Juve na Real Madrid wanatumia RM . Ubashiri unaonyesha ndani ya dk 90 itaisha draw na mshindi atapatikana ndani ya dk 120.
JU = 10 +21 +3= 34
RM = 18+ 13+ 3 = 34.
huu ni ubashiri tu wa namba , tusubiri dk 90.
 

Kama Juventus wanatumia kifupisho cha "juve" as per your your knowledge, kwenye hesabu mbona umeweka JU na sio JUVE? Anyway, I never trust utabiri kwenye soka or anything for that matter. Waliosema "mpira unadunda, so anything can happen" walikuwa na akili sana
 
Game saa ngap
 
Madrid analala Leo, mi ni mshabiki wa Madrid ila kwa leo nko kwa mkopo Juve
 
Zikienda 120 madrid anabeba kombe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…