Utabiri wa bingwa CAFCL, CAF Confederation na NBCPL 2025

Umefeli Maeneo karibia yote.
CAFCL - Pyramids
CAFCC - Simba Mnyama
NBC - Simba Mnyama
CRDB - Simba Mnyama
UEFA - PSG.
Amepatia maeneo mengi wewe umepatia mawili

CAFCL - Alisema Pyramids - alipatia
CAFCC - Alisema Rs Berkane - alipatia
NBC - Alisema Yanga - alipatia
CRDB - Alisema Simba - amekosea kwa kuwa Simba alishatolewa na kuna uwezakano mkubwa Yanga akachukuwa tena
UEFA - Alisema Arsenal ila amekosea kwa kuwa PSG wamebeba.
 
Mimi nimepatia kwa Pyramids na PSG.
Hapo kwa Mnyama hakuna namna ambayo ningetaja Utopolo hata ungeniwekea Kisu.
 
Ulianza vizuri sijui ukanywa pombe gani huko mwisho ukaharibuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…