Utabiri wa hali ya hewa umeonesha kesho kutakuwa na jua kali jijini Dar es salaam

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakuu utabiri wa hali ya hewa jijini Dar es Salaam unaonesha tarehe 24/12/2018 kutakuwa na jua kali na hamna dalili yoyote ya manyunyu wala mvua.
Kuna mtu huwa anategemea mvua miaka yote ili ashinde ,sasa sijui kesho itakuwaje?
Miaka 50 mnatagemea mvua ndio mshinde,kwenye karne hii ya sayansi na teknolojia?
 
Fellow Zambians, I honour your kindly support for Nkana FC tomorrow at the National Stadium in Daresalam.
United we stand, divided we fall.
 
Timu Inategemeana mvua😁😁😁,ikitokea ukame?
 
Sasa kama hakuna mvua vyura si watateseka maana wameshazoea kukaa bwawani [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Reactions: Tui
Unajua kukurupuka trh 24 wakt mechi ni tarh 23
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…