Utabiri wa hali ya ndoa

Utabiri wa hali ya ndoa

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
Wanaume watakuwa wakali kipindi cha Disemba mpaka mwanzoni mwa February[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] NA kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kutakuwa na vipindi virefu vya HASIRA & KUSONYA [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
_
Aidha ukanda wa ```Michepuko,``` hali haitakuwa shwari kwa sababu PESA hazitavuma kutoka mifukoni mwa wanaume.[emoji2992][emoji2992][emoji2992][emoji2992][emoji2992][emoji2992][emoji2992] Kiwango cha juu cha ```usaliti``` kitapungua na kufikia 0. 75% wakati chuki ndani ya ndoa ikiongezeka kufuatia uhaba wa pesa[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
_
[emoji174] Utabiri huu wa hali ya Ndoa umeletwa kwenu na ```Mamlaka ya hali ya Ndoa nchini & kwa `Hisani ya JF``[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji122][emoji122][emoji122] AKSANTENI [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Screenshot_20191206-210317.jpeg
 
Sambamba na hayo pia kuanzia kipindi cha 25 december hadi tar 1 january kutakua na mivumo ya calls na sms kutoka kwa michepuko mingi hadi uliyo isahau ikitaka kukujulia hali ktk kipindi hiko cha sikukuu hivyo wanawake ktk ndoa mnapaswa kuchukua tahadhari kutokana na dhoruba hizi. Ahsante
 
wingi wa maji yatakayonyesha katika mikoa ya kitandani na sofa yatapungua.
 
Aidha. ..uongo na usaliti katika ndoa na mahusiano utaongezeka zaidi katika msimu huu wa sikukuu na likizo ambapo watumishi na wana jamii wengine huwa free kwa wiki kadhaa za kusherekea sikukuu hizo


Cc Smart911
 
Aidha. ..uongo na usaliti katika ndoa na mahusiano utaongezeka zaidi katika msimu huu wa sikukuu na likizo ambapo watumishi na wana jamii wengine huwa free kwa wiki kadhaa za kusherekea sikukuu hizo


Cc Smart911

Hahahaha... Hakika itasikitisha sana...

Usaliti hauwezi ongezeka sababu first ladies watakaza haswa...
 
Hahahaha... Hakika itasikitisha sana...

Usaliti hauwezi ongezeka sababu first ladies watakaza haswa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na katika msimu huu side chiks wanaongeza kupulizia nakuongeza manjonjo ya kila aina ili kuwapumbaza wanaume waliowakamata ilimradi tu wasahau ndoa zao [emoji2][emoji2] [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom