Utabiri wa Humphrey Polepole waanza kutimia

Fuatilia Uzi wangu wa maono Niliyopewa Juu ya ujio Wa Yesu Tanzania na atakavyoanzia Enzi mpya
Mkuu Paapaa Mukuubwaa, hapa umeshauteka tayau uzi wa Etwege.

Ungepandisha Uzi unoaojitegemea kuhusiana na utabiri wako, ingalikuwa ni jambo la hekima sana.
 
 
Sijawahi kuona watu wanafiki kama ccm
 
Story za kujifariji ni Kijiji kipi ambacho wanataka huyo mama yenu aendelee
mkuu kukubalika hua kuna aina mbalimbali,

kuna sehemu wamepita maraisi wengi ila SSH ndo kafanya vitu wao wanaona vinaonekana huko kwao --- lazima wamthamini ,

pia kuna sehemu ambazo kutokana na usimamizi mbovu hayo maeneo wananchi wanafanya shughuli zao kwa bila matatizo yeyote --- lazima wamthamini

au unataka nikutajie mpaka na majina ya vijiji mkuu? 😁
 
Hivyo vijeba ni vya kuvidharau tu Sasa. Ni vijinga vijinga mnooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…