Utabiri wa kesi ya Kitilya

HONGERA SANA UTABIRI WAKO UMETIMIA ila wrong citation kwa kuwasilisha kifungu ulichoweka ni kwa ajili ya Kesi za madai tu. Kifungu cha 6 ndio kinahusu Criminal cases hata hivyo hakikutoa mwanya huo.
Kwa reference zaidi pitia hukumu ya DPP vs FARIDI H. AHMED and 9 others. Criminal Appeal no 96 ya 2013 katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania.
'It must be obvious to all now that in the entire section 6 which
clothes this Court with jurisdiction to hear and determine criminal appeals
from the High Court and subordinate courts with extended powers, there is
no provision similar to, leave alone one identical with s. 5 (2) (d)
reproduced above.'
 
Ngoja nijikongoje na u Lawyer wangu. case ya msingi ndio Money Laundering zingine hazina uzito. otherwise Hakuna case ndio maana serikali imekata rufaa.
Lakini Rufaa si imetupwa jana?
 
KUNA CRIMINAL CHARGE HAPO UMEONA!
 
Naomba hiyo case uliyoquote uniwekee hapa niisome tafadhali sana. Nisearch sijapata
 
Sijaiona Charge sheet yao lakini naamini ni 1...yani inajoinder of accuseds persons lakini ina multiple counts(8 counts)....Rufaa ya DPP
imeanguka kwasababu hauwezi kuapeal kwa maamuzi ambayo hayaondoi shauri la msingi mahakamani...kama count 1 ya Money Laundering imeomdolewa bado charge sheet hao itabaki n 7 counts meaning bado serikali inakesi ya msingi.Defence wananafasi 2 za kuchllenge charge sheet;
1.At the time of Plea(mwanzo kabisa kama kwenye kesi hii)
2.At the close of defence case(Submission of no case to answer)
Kwakua kina suala la dhamana basi Utetezi waliraise swala hili mapema na kwakifupi nadhani points ni 2 tu wakati wanapinga
1)Material facts hazisuport count(kosa)..mfano useme mtu kaiba Ngombe kwenye facts wakati kosa kwemye kifungu cha jinai kinaongelea rape
2)Wrong provision of law.
Naamini hii count haitarudishwa na DPP angeendelea na kesi yake badala ya kungangania count ya Money Laundering ili wakose dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…