Utabiri wa Khan Kuhusu Hali ya Dini Miongo Kadhaa ijayo!

Utabiri wa Khan Kuhusu Hali ya Dini Miongo Kadhaa ijayo!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Dini (Za Kigeni) ni mfumo wa imani wa wenzetu yaani "wazungu na waarabu" waliouleta Africa kujaribu kutuhadaa na kututawala.. hawa jamaa walileta dini katika Ardhi yetu zama za Giza!

Kwa sasa waafrika wanazidi kupata Elimu na kufunguka fikra na kugundua uongo nadhifu mno uliofichwa kwenye vitabu hivi ambavyo wao huviita Vitabu vitakatifu yaani "Biblia na Quran"

Wenzetu waliotangulia kufunguka fikra kama kina Einstein, Tesla,Hawkings na wengineo hawajawahi kuamini katika hizo Dini.. kwao vitabu hivyo ni hadithi tu za kitoto!

Pia kwa huku afrika ambapo dini inaabudiwa na wengi itafika mahali Dini zitakosa waamini, watu hawatoamini tena katika Figure za dhahania kama "Yesu wa Nazareti na Mohamed"..

Yajayo yanafurahisha!
 
We unadharau neno la mungu eeh?,unataka uende motoni ?
 
Nakubaliana sana tena sana na wewe, dini imeanza kupoteza hamasa. Wazungu na waarabu walileta haya mambo kutuhadaa na kupumbaza waafrika ili wachukue kila kitu.

Shida kubwa naiona ni upande wa wanawake, wao wamekuwa watu wa kufuata kila kinachokuja mbele yao, wengine hadi kufunua tupu zao ili "nabii" agusishe mshedede wake wapate uponyaji. Pathetic sana, mtu mweusi ana matatizo mengi, ila mengi ya matatizo yake yapo kichwani.
 
Tatizo mkuu hatuna kingine cha kuamini tamaduni za wazee wetu wa kale hatuzijui yani hatuna pakuanzia.

Dini hizi zinatupa faraja ya moyo na tumaini kuu hatuna namna. Yani mtu akipitia changamoto au hata wewe kwakuwa huna kingine cha kukiabudu utamtaka tu mungu awe upande wako na kuvishika hivyo vitabu na utasikia raha na amani ya moyo mno.
 
Back
Top Bottom