Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah sure aiseeeHapo kwa mzamiru second half anakaa Nyoni kama tutakuwa tumefanikiwa kuongoza walau goli moja.
Nilichagua mzamiru sababu work rate yake ni kubwa sana na gemu ya leo inahitaji kufanya kazi sana
Ulimwengu katika kuwa majeruhiila hawa makocha yani unamuacha Ulimwengu Thomas unamuita John Bocco ngoja tuone.
Niwe tu mkweli Samata ni mtamu zaidi akiwa anatokea pembeni kuliko akicheza katikatiKwa kutambua umuhimu wa mechi ya leo na aina ya wachezaji walioitwa Taifa stars, ungekuwa nafasi ya kocha Poulsen ungekuja na kikosi gani? Mimi ningeanza na hawa hapa
View attachment 2006483
AmenMungu ibariki Congo DRC