Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujao
 
Naunga mkono hoja
 
Hayo magoli yaweke vice versa. Trust me Utanishukuru baadae.[emoji1488]
 
Ni wivu tu Ni wivu tu (Kwa sauti ya Gwajiboy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…