Utabiri wa leo simba vs coastal

Utabiri wa leo simba vs coastal

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa

Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
 
😂🤣😁😁😁😁😁
20240307_111604.jpg
 
Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa

Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
Draw ndo kitu naona mm 🤣🤣🤣🤣
 
Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa

Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
Coast haijawahi sumbua Simba katika hatua kama hizi. Coast ni daraja la Simba wakiwa latika wakati mgumu. Saidoo kama alitumia daraja hili kumfikia Mayeye. Wananchi msifikirie hii kutokea. Hata hivyo gape ya 7 points siyo dogo kwa form wenyenayo Yanga kuelekea ubingwa.
 
Acha yabagajuliwe tu. Yanachonga sana haya mabumunda ya mo.
 
Simba ikifungwa itabadilisha maisha yako ya kimaskini uliyonayo?
 
Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa

Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
coastal wataawaachia ndugu zao simba
 
Back
Top Bottom