Utabiri wa mechi ya simba na Yanga ngao ya jamii

Utabiri wa mechi ya simba na Yanga ngao ya jamii

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Huu ni utabiri wangu
Mayele leo kwenye dakika ya 20+ atafunga simba bao la kichwa

Kwenye dakika ya 50+ aucho atafunga goli la kumalizia

Kwenye dakika ya 67+
Simba wata gomboa goli kwa mkwaju wa penalti ambao utapigwa na shomary kapombe
 
Back
Top Bottom