Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanu kutawala mika 100 ,utabiri wa prof. Wa siasa mzee moi umetimia
Hebu iweke wazi mkuu, mimi sijaelewa kabisa!!!!!
uhuru kenyata ni kijana wa moi hajawai kuhama KANU, kumbuka moi ndo alitaka awe mrithi wake kabla ya kibaki, so uhuru kairudisha KANU kwa mgongo wa nyuma tu , TNA na the so called jubilee ni daraja tu.

Acha uongo; KANU ilimuunga Mudavadi wa AMANI ila kwa sasa chama cha KANU kimeingia mkataba na Jubilee kama vingine vidogo dogo vilivyofanya.
Huenda Mwitaz anajua kikurya na kiingereza,kiswahili kwake imekuwa shidaUmeona wapi niliposema KANU ilimuunga mkono uhuru kwenye uchaguzi uliopita, rejea nilichoandika nimesema toka awali kabla kibaki hajawa rais pendekezo la MOI ilikuwa Uhuru kupitia KANU hadi uhuru aliposhindwa uchaguzi, mafungamano ya uhuru na moi yapo pale pale kilichobadilika ni kuwa sasa kasimama kupitia TNA, uwe unajibu mada bila kunywa viroba