PWEZA KATABIRI LIVERPOOL BINGWA LIGI YA UINGEREZA MWAKA 2010/11....Kwahiyo wapenzi wa Bwawa la Maini tusiwe na shaka....mwaka huu ni kushangilia kwa sana tu.......!
Ninaomba unipe website ya kulithibitisha hili. Maendeleo ya Liverpool ni mabaya sana na sijasikia kwenye chombo chochote cha habari juu ya hili...please for our good....................