Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)

AS Vita (3 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)

[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini)

AS Vita (1 point)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2394]


[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya nyumbani)

Al Ahly (1 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)

[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya ugenini)

Al Ahly (0 point)
Simba SC (1 point)
JS Soura (3 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2389]


[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya nyumbani)

Al Ahly (0 points)
AS Vita (1 point)
JS Soura (3 points)

[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya ugenini)

Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
JS Soura (1 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2393]

[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya nyumbani)

Al Ahly (0 points)
AS Vita (0 points)
Simba SC (1 points)

[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya ugenini)

Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
Simba SC (3 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 =[emoji2389]

Msimamo Kundi D baada ya Mechi 6 kukamilika

[emoji2389]. Al Ahly (16) [emoji3581]
[emoji2390]. AS Vita Club (11) [emoji3581]
[emoji2391]. Simba SC (5) [emoji3582]
[emoji2392]. JS Soura (1) [emoji3582]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barcelona acheze na Wigan Athletic ...then useme lolote laweza kutokea.

Huo utakuwa kujitoa ufahamu..[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Km wakikutana Klabu bingwa ulaya inaweza lolote kutokea maana atakuwa ni miongoni mwa zile top 4 Epl.Simba ni bingwa wa Tanzania na hakufika hapo kwa kubebwa.Km unabisha hilo itakuwa hujielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...

watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
 
umenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...

watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
Kwanini umpige mtu kwa sababu ya mpira?..[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…