Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

Yani Dauda kweli akili hana ni tahira yani mwarabu wa misri aje bongo apate point 3! Kwa simba hii ya leo ukizingatia tuna faida ya hali ya hewa, Nahama duniani naenda pluto.
.
Anyway anatafuta followers kwa nguvu kwa kushirikiana na manara akifikisha followers laki 5 ndiyo mtaelewa hili picha
 
Hilo ndiyo lengo lake mengine mbwembwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dauda kuna analotafuta kiukweli. Na soon atalipata. Tangu makundi yapangwe akawa anainanga Simba tu. Aliamini Simba hatamfunga yoyote yule ktk lile group. Baada ya Simba kumfunga bingwa wa Algeria mashabiki wa Simba wakamtolea uvivu matokeo yake j3 asubuhi wametulia kipindi kizima cha power breakfast segment ya Michezo kujikosha. Wote kina PJ Masudi kipanya wakawa wanajikosha kwa kauli za Dauda. Leo analeta upuuzi mwingine natamani game ya Ahly Simba ishinde afu awepo uwanjani tuone kama atatoka salama.
 
umenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...

watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
Kweli mkuu,,yeye anaona kama anamkomoa MANARA,,lakini kumbe anajipalilia makaa mwnyewe,,, ngoja MNYAMA aingie hatua ya mtoano,,,,atajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mimi naisubiri tim yangu WYDAD CASABLANCA ikifanya mauaji. Nyie bakini na vitim vyenu akina simba,js soura n.k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpira unadunda lakini sio kwenye maji, alichosema dauda ni sahihi but kwenye mpira chcht hutokea
We bwege kweli. Usahihi wake nini. Timu zote zilizo qualify ktk group stage zinaweza. Ndio maana Barcelona huwa anateswa na vitimu video tu kule Spain. Mpira sio Ramli brother.
 
We bwege kweli. Usahihi wake nini. Timu zote zilizo qualify ktk group stage zinaweza. Ndio maana Barcelona huwa anateswa na vitimu video tu kule Spain. Mpira sio Ramli brother.
Mkuu mpira sio vita kama unayoitaka wewe mpaka kuniita bwege, ndo maana nmekwambia Mpira unadunda yaan timu ndogo kuifunga kubwa huwa inatokea, ivi hizo timu ndogo unazozisema zimeifunga Barcelona jee zmechukua ubingwa Mara ngapi mbele ya Barcelona, tatizo la bongo ndo hili mtu akiongea kuhusu hz simba na yanga mnataka asifie hata kama ni uongo,
Kwa akili yako unaona Manara anavosema simba anaweza kuzifunga fc Barcelona, Bayern muchen, Na man city jee kiuhalisia ni kweli?
Nakushauri acha kufikiria Mpira ki simba simba au ki yanga yanga, mpira sio lamli Bali ni professional na maandalizi sio kuchoma ubani pale taifa,
sasa nazidi kuamini kuwa mashabiki Wa hivi vilabu hawajui chochote yaani wao ni oyaoya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…