Utabiri wa Tumia Akili uliishia wapi?

Utabiri wa Tumia Akili uliishia wapi?

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032.

Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year.

 
Mkuu unaelewa Code ya FDR (Franklin D.Rooservelt) Lakin?
Ngoja nifanye simple encrption kwenye maelezo ili nisiyafunge sana uelewe...
Yuko sahihi sana aliyesema hivyo ntatia facts kuhusu urais wa FDR
-Alitawala miaka 12
-Alitawala mihula minne katika chaguzi za 1932,1936,1940,1944

Mfanano:
Kuna raisi atatawala
-Miaka zaidi ya 12
-mihula minne
 
Tangu nijue 'besidei' yake huyo member niliunganisha dots na kumpuuza rasmi.
 
Back
Top Bottom