Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Oct 11, 2010 #1 hawa jamaa they have become very popular all over the world kiasi kwamba hata makampuni ya matangazo ya ulaya kuamua kutumia nembo yao..teh! , kama kuna mtu aliona ya CCM aiweke...teh! Attachments cha cha cha.jpg 107.7 KB · Views: 114
hawa jamaa they have become very popular all over the world kiasi kwamba hata makampuni ya matangazo ya ulaya kuamua kutumia nembo yao..teh! , kama kuna mtu aliona ya CCM aiweke...teh!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Oct 11, 2010 #2 hii ni ishara ya ushindi mwaka huu
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Oct 11, 2010 #3 Logo kubwa ,ipo siku itaingia ikulu.
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Oct 11, 2010 #4 dalili nzuri
asam.thegunner Member Joined Oct 7, 2009 Posts 44 Reaction score 0 Oct 11, 2010 #5 Mi ninachofahamu kuweka vidole hivyo maana yake ni victory. hiyo alama ya vidole ilikuwepo hata kabla ya kuanzishwa chadema.
Mi ninachofahamu kuweka vidole hivyo maana yake ni victory. hiyo alama ya vidole ilikuwepo hata kabla ya kuanzishwa chadema.
P PWAGU Member Joined Apr 23, 2010 Posts 30 Reaction score 5 Oct 12, 2010 #6 Logo kubwa ,ipo siku itaingia ikulu. UMESHAKATA TAMAA SIKU IPI HIYO