Utabiri wangu AZAM bingwa 2024/2025

Utabiri wangu AZAM bingwa 2024/2025

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Azam bingwa 2024/2025

Msimamo mwisho wa msimu

1 Azam Fc 78 pts
2 Young African Sc 78 pts
3 Simba Sc 70 pts
4 Singida black stars (Ihefu.



14 Pamba pts 25
15 Kmc pts 24
16 Mashujaa 20

Mfungaji bora (Young African
Kipa bora (Azam
 
Mbona mapema sana, umekiona nini kwa azam, simba wamefanya usajili wa laana ivi still unawatoa kwenye ubingwa?
 
atoke caf mapema. akomae Na ligi also without kipre Jr pale mbele. his game plan is dead.
azam will be azam.
 
Azam bingwa 2024/2025

Msimamo mwisho wa msimu

1 Azam Fc 78 pts
2 Young African Sc 78 pts
3 Simba Sc 70 pts
4 Singida black stars (Ihefu.



14 Pamba pts 25
15 Kmc pts 24
16 Mashujaa 20

Mfungaji bora (Young African
Kipa bora (Azam
KMC sio timu ya kushuka daraja, wana uchumi wa uhakika. Wana kikosi kizuri hata kocha wao ni Bora. Hapo kwa KMC weka Tabora.
 
Honestly, kwa nature ya vikosi vya msimu ulioisha na usajili wa msimu huu still Young Africans SC wana advantage kwa sababu wao kazi yao kubwa msimu huu ni kuhakikisha wachezaji wapya wana-switch kwenye mfumo ambao hata ikitokea baadhi wamegomewa kikosi cha mwaka jana kinafanya jambo, ila kwa upande wa simba bado wanabet, ukiangalia kikosi kilichopo saiv huwezi kupata walau picha ya uchezaji wao plus benchi jipya la ufundi, Azam nae kafanya usajili bora sana kama wengine ila ajitahidi sana mechi za ugenini asitobolewe mara nyingi.
#For the game, mwaka huu tuta-enjoy zaidi
 
Hivi hiyo azam Bora mnayoisifia ndio hii iliyoshika nafasi ya pili kwa utofauti wa magoli mbele ya Simba mbovu iliyojichokea kuliko nyakati zote?
 
Back
Top Bottom