Honestly, kwa nature ya vikosi vya msimu ulioisha na usajili wa msimu huu still Young Africans SC wana advantage kwa sababu wao kazi yao kubwa msimu huu ni kuhakikisha wachezaji wapya wana-switch kwenye mfumo ambao hata ikitokea baadhi wamegomewa kikosi cha mwaka jana kinafanya jambo, ila kwa upande wa simba bado wanabet, ukiangalia kikosi kilichopo saiv huwezi kupata walau picha ya uchezaji wao plus benchi jipya la ufundi, Azam nae kafanya usajili bora sana kama wengine ila ajitahidi sana mechi za ugenini asitobolewe mara nyingi.
#For the game, mwaka huu tuta-enjoy zaidi